Ufafanuzi msingi wa kumbe katika Kiswahili

: kumbe1kumbe2

kumbe1

kielezi

 • 1

  tamko la kuonyesha mshangao au kutojua hakika ya jambo lilivyokuwa.

  kanama

Matamshi

kumbe

/kumbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kumbe katika Kiswahili

: kumbe1kumbe2

kumbe2

kielezi

 • 1

  hali ya kuwa.

  ‘Aliniambia kuwa alikuja, kumbe hakuja kamwe’
  ilhali

Matamshi

kumbe

/kumbɛ/