Ufafanuzi wa kumbuka katika Kiswahili

kumbuka

kitenzi elekezi

  • 1

    jiwa tena na fikira ya jambo lililotokea au lililopita.

    dhukuru, tanabahi

Matamshi

kumbuka

/kumbuka/