Ufafanuzi wa kumbukumbu katika Kiswahili

kumbukumbu

nomino

  • 1

    kitu au jambo linalokumbusha tukio au jambo lililopita.

    rekodi

  • 2

    taarifa za mkutano zilizoandikwa na kuhifadhiwa.

Matamshi

kumbukumbu

/kumbukumbu/