Ufafanuzi wa kumbwe katika Kiswahili

kumbwe

nominoPlural makumbwe

  • 1

    chakula kidogo cha kuonja tu.

Matamshi

kumbwe

/kumbwɛ/