Ufafanuzi wa Kupanda chati katika Kiswahili

Kupanda chati

msemo

  • 1

    kupanda hadhi; kuwa bora au nambari moja, hasa katika uwanja wa muziki.