Ufafanuzi wa kurupusha katika Kiswahili

kurupusha

transitive verb

  • 1

    shtusha mnyama au mtu mahali alipojificha na kumfanya aondoke haraka.

    shtua, timua

Matamshi

kurupusha

/kurupuāˆ«a/