Ufafanuzi wa kurutu katika Kiswahili

kurutu

nomino

  • 1

    askari mwanafunzi ambaye bado hajahitimu mafunzo.

Asili

Kng

Matamshi

kurutu

/kurutu/