Ufafanuzi wa kusudia katika Kiswahili

kusudia

kitenzi elekezi~wa

  • 1

    taka kwa nia.

    lenga, azimia, dhamiria, hirimia, nuia

Asili

Kar

Matamshi

kusudia

/kusudija/