Ufafanuzi wa kutua katika Kiswahili

kutua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~liwa

  • 1

    shtua kwa ghafla na kuvuta kwa nguvu.

    ‘Kutua mkono’

Matamshi

kutua

/kutuwa/