Ufafanuzi wa kuukuu katika Kiswahili

kuukuu

kivumishi

  • 1

    iliyochakaa kwa umri au kwa kutumika sana; -a zamani.

    methali ‘Ukuukuu wa kamba si upya wa ukambaa’
    -zee

Matamshi

kuukuu

/ku:ku:/