Ufafanuzi msingi wa kwani katika Kiswahili

: kwani1kwani2

kwani1

kivumishi

 • 1

  kwa sababu.

  ‘Alikwenda kwani hakutaka kuchelewa’

Matamshi

kwani

/kwani/

Ufafanuzi msingi wa kwani katika Kiswahili

: kwani1kwani2

kwani2

kielezi

 • 1

  neno la kusisitiza kutaka kujua.

  ‘Kwani alipokuja hapa alisema nini?’
  ‘Kwani una shilingi ngapi?’

Matamshi

kwani

/kwani/