Ufafanuzi wa kwaruzana katika Kiswahili

kwaruzana

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    shindana na mwingine kwa kutokubaliana juu ya jambo fulani.

    hitilafiana

  • 2

    gombana

Matamshi

kwaruzana

/kwaruzana/