Ufafanuzi wa kweta katika Kiswahili

kweta

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kwa matako na mikono k.v. kiwete afanyavyo.

    sota

Matamshi

kweta

/kwɛta/