Ufafanuzi wa la katika Kiswahili

la

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia chakula kinywani na kumeza.

Matamshi

la

/la/