Ufafanuzi wa laiti katika Kiswahili

laiti

kiunganishi

  • 1

    kiunganishi katika tungo kinachoashiria majuto.

    ‘Laiti ningejua’
    lau, kama, falaula

Asili

Kar

Matamshi

laiti

/laIti/