Ufafanuzi wa langua katika Kiswahili

langua

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuuza bidhaa kwa bei isiyo halali.

Matamshi

langua

/languwa/