Ufafanuzi wa lava katika Kiswahili

lava

nominoPlural lava

  • 1

    jivu la moto litokanalo na mwako wa volkano.

    zaha

Asili

Kng

Matamshi

lava

/lava/