Ufafanuzi wa lea katika Kiswahili

lea

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa

  • 1

    tunza na fundisha mtoto mpaka akue.

    elimisha, funda, tunza, funza

Matamshi

lea

/lɛja/