Ufafanuzi wa leksikolojia katika Kiswahili

leksikolojia

nominoPlural leksikolojia

  • 1

    taaluma inayojishughulisha na uchunguzi, uchambuzi na uchanganuzi wa msamiati wa lugha pamoja na maana zake.

    elimumsamiati

Asili

Kng

Matamshi

leksikolojia

/lɛksikɔlɔʄija/