Ufafanuzi wa lelemama katika Kiswahili

lelemama

nominoPlural lelemama

  • 1

    ngoma ya wanawake inayochezwa juu ya mabao na kwa kutumia mbiu.

Matamshi

lelemama

/lɛlɛmama/