Ufafanuzi wa leuka katika Kiswahili

leuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    -isha kwa ulevi.

    ‘Baada ya kupata supu, ulevi ulimleuka’

Matamshi

leuka

/lɛuka/