Ufafanuzi wa libasi katika Kiswahili

libasi

nominoPlural libasi

  • 1

    mavazi.

    methali ‘Usiku ni libasi njema’
    nguo

Asili

Kar

Matamshi

libasi

/libasi/