Ufafanuzi wa lipu katika Kiswahili

lipu

nominoPlural lipu

  • 1

    msawazisho wa madongo yaliyokandikwa ukutani kwa kutumia udongo au mchanganyiko wa saruji na mchanga.

    plasta

Matamshi

lipu

/lipu/