Ufafanuzi wa liwali katika Kiswahili

liwali

nominoPlural maliwali

  • 1

    mtawala wakati wa ukoloni aliyechaguliwa na serikali na aliyeshughulikia mambo ya hukumu katika sehemu fulani.

Matamshi

liwali

/liwali/