Ufafanuzi wa loma katika Kiswahili

loma

nominoPlural loma

  • 1

    mnyama mdogo mwenye mdomo mrefu anayechimba chini sana mchangani na kuishi huko.

    kiharara

Matamshi

loma

/lɔma/