Ufafanuzi wa lowa katika Kiswahili

lowa, rowa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pata maji na kuwa chapachapa.

    oama, tota

Matamshi

lowa

/lɔwa/