Ufafanuzi wa lowana katika Kiswahili

lowana

kitenzi sielekezi~isha

  • 1

    ingia maji na kuwa chepechepe.

    ‘Amenyeshewa na mvua na nguo zote zimelowana’

Matamshi

lowana

/lɔwana/