Ufafanuzi wa lugha lengwa katika Kiswahili

lugha lengwa

  • 1

    lugha ambayo mada au maelezo kutoka lugha moja huelekezwa, hufasiliwa au hufasiriwa.