Ufafanuzi wa luteni-usu katika Kiswahili

luteni-usu

nominoPlural maluteni-usu

  • 1

    ofisa wa jeshi wa cheo cha kwanza chini ya luteni.

Asili

Kng

Matamshi

luteni-usu

/lutɛni usu/