Ufafanuzi wa maafa katika Kiswahili

maafa

nominoPlural maafa

  • 1

    tukio la kudhuru linaloleta hasara.

    balaa, masaibu, ajali

  • 2

    kisirani

Asili

Kar

Matamshi

maafa

/ma:fa/