Ufafanuzi wa maafikiano katika Kiswahili

maafikiano

nominoPlural maafikiano

  • 1

    mambo yaliyokubaliwa na watu baada ya mjadala.

    mapatano, mwafaka, itifaki

Asili

Kar

Matamshi

maafikiano

/ma afikijanɔ/