Ufafanuzi wa maafuu katika Kiswahili

maafuu

nominoPlural maafuu

  • 1

    mtu anayestahiki kusamehewa makosa anayofanya kwa sababu ya hali yake k.v. mwendawazimu au mgonjwa.

Asili

Kar

Matamshi

maafuu

/ma afu:/