Ufafanuzi wa mabavu katika Kiswahili

mabavu, kibavu

nomino

  • 1

    nguvu za binadamu.

    ‘Tumia mabavu’
    imla, mdinde, fosi, nguvu