Ufafanuzi wa machela katika Kiswahili

machela

nominoPlural machela

  • 1

    kitu kama kitanda, agh. hutumiwa kubebea mtu aliye mgonjwa au maiti.

Matamshi

machela

/mat∫ɛla/