Ufafanuzi wa madhali katika Kiswahili

madhali

kiunganishi

  • 1

    kwa kuwa; kwa sababu.

    ‘Madhali umekuja tutaondoka’
    maadamu

Asili

Kar

Matamshi

madhali

/maðali/