Ufafanuzi wa madhubuti katika Kiswahili

madhubuti

kivumishi

  • 1

    -enye nguvu.

    ngangari, kikiki, imara, thabiti, jadidi, mithaki

Asili

Kar

Matamshi

madhubuti

/maðubuti/