Ufafanuzi wa madhumuni katika Kiswahili

madhumuni

nomino

  • 1

    sababu ya kufanya jambo.

    kusudi, azma, nia, lengo, makusudi, maarubu

Asili

Kar

Matamshi

madhumuni

/maĆ°umuni/