Ufafanuzi wa mafuriko katika Kiswahili

mafuriko

nominoPlural mafuriko

  • 1

    maji yanayojaa kwenye mto mpaka yakavuka kingo zake.

    gharika

Matamshi

mafuriko

/mafurikɔ/