Main definitions of mafutu in Swahili

: mafutu1mafutu2

mafutu1

noun

  • 1

    hisia anazokuwa nazo mtu baada ya kupata maudhi.

    hasira, ghadhabu, hamaki, ghaidhi

Pronunciation

mafutu

/mafutu/

Main definitions of mafutu in Swahili

: mafutu1mafutu2

mafutu2

noun

  • 1

    upande butu wa kitu kama kisu au panga; upande usiokata.

Pronunciation

mafutu

/mafutu/