Ufafanuzi wa magigimo katika Kiswahili

magigimo

nomino

  • 1

    hali ya kujidai au kujionesha nguvu na kujikita.

Matamshi

magigimo

/magigimÉ”/