Ufafanuzi msingi wa mahafali katika Kiswahili

: mahafali1mahafali2

mahafali1

nominoPlural mahafali

  • 1

    mkusanyiko mkubwa wa watu kwa ajili ya sherehe fulani.

  • 2

    sherehe ya kutunuku vyeti, shahada au stashahada.

Asili

Kar

Matamshi

mahafali

/mahafali/

Ufafanuzi msingi wa mahafali katika Kiswahili

: mahafali1mahafali2

mahafali2

nominoPlural mahafali

  • 1

    mtu aliyehitimu masomo au taaluma fulani na kutunukiwa cheti, shahada au stashahada.

Asili

Kar

Matamshi

mahafali

/mahafali/