Ufafanuzi wa Maji baridi katika Kiswahili

Maji baridi

  • 1

    maji yasiyokuwa moto au yaliyopozwa kwenye friji; maji yasiyo chumvi k.v. ya mito.