Ufafanuzi wa makataa katika Kiswahili

makataa

nominoPlural makataa

 • 1

  mapatano ya malipo ya kufanywa kazi yote kwa jumla.

  ‘Kazi ya makataa’

 • 2

  uamuzi wa mwisho kabisa.

 • 3

  muda wa mwisho wa kufanya jambo.

Matamshi

makataa

/makata:/