Ufafanuzi wa makinika katika Kiswahili

makinika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya utulivu; kuwa makini.

    tua, stakiri, tulia, poa, burudi, tabaradi, diriki

Matamshi

makinika

/makinika/