Ufafanuzi wa makofi katika Kiswahili

makofi

nomino

  • 1

    sauti zitokanazo kwa kupiganisha viganja viwili vya mikono.

Matamshi

makofi

/makɔfi/