Ufafanuzi wa makuruhu katika Kiswahili

makuruhu

nominoPlural makuruhu

  • 1

    mambo ya kuchukiza.

    karaha, kero, ikirahi, maudhi, adha

Asili

Kar

Matamshi

makuruhu

/makuruhu/