Ufafanuzi wa malaria katika Kiswahili

malaria

nominoPlural malaria

  • 1

    ugonjwa unaoambatana na homa kali ambao huenezwa na mbu aitwaye anofelesi.

Asili

Kng

Matamshi

malaria

/malarija/