Ufafanuzi wa maliki katika Kiswahili

maliki

nomino

  • 1

    mtu mwanamume anayetawala.

    mtawala, mfalme

Asili

Kar

Matamshi

maliki

/maliki/