Ufafanuzi wa malimati katika Kiswahili

malimati

nominoPlural malimati

  • 1

    sadaka itolewayo kwa ajili ya marehemu katika siku kumi za mwanzo wa mfunguo tatu.

Asili

Kar

Matamshi

malimati

/malimati/