Ufafanuzi msingi wa mamba katika Kiswahili

: mamba1mamba2mamba3

mamba1

nominoPlural mamba

 • 1

  mnyama kama kenge mkubwa mwenye magamba akaaye mtoni na ziwani.

  ngwena

Matamshi

mamba

/mamba/

Ufafanuzi msingi wa mamba katika Kiswahili

: mamba1mamba2mamba3

mamba2

nominoPlural mamba

 • 1

  nyoka mweusi au wa kijani mwenye sumu kali sana.

Matamshi

mamba

/mamba/

Ufafanuzi msingi wa mamba katika Kiswahili

: mamba1mamba2mamba3

mamba3

nominoPlural mamba

 • 1

  magamba ya samaki.

Matamshi

mamba

/mamba/